Meneja
wa washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT), Happiness Ntaga kutoka
kampuni ya Proin Promotions Limited akiwatambulisha washiriki (hawapo
pichani) kwa wafanyakazi wa Global Publishers.
Washiriki
wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka kanda mbalimbali
Tanzania bara wakiwasili ofisi ya Global Publishers.
Mshiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents, Janeth Emmanuel Kahabi kutoka kanda ya ziwa.
Mwanaafa Mwizago ni kutoka kanda ya kusini.
Moses Obunde kutoka kanda ya kati.
Aneth Peter kutoka nyanda za juu kusini.
Huyu ni Pendo Edward.
Joyce Kalinga kutoka kanda ya kati.
Mtawa Kapalala nyanda za juu kusini.
Tishi Abdalah kutoka kanda ya Pwani akijitambulisha kwa wafanyakazi wa Global.
Washiriki wa Tanzania Movie Talents wakisikiliza jambo.
Washiriki wa TMT wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja wa washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT), Happiness Ntaga (kushoto) akiongea na Mwanaafa Mwizago kutoka kanda ya kusini.
WASHIRIKI 20 wa kanda kutoka
Tanzania Movie Talents (TMT) wametembelea Global Publishers wakitokea
hotel ya Spice walikofikia.Mshindi atapatikana tarehe 31 mwezi wa nane
kwa kupigiwa kura na Watanzania.
0 comments:
Post a Comment