(picha)tz@50:diamond,menina,djfetty, kajala watokelezea,weusi&prof.j watisha, shilole,mh.komba
Kama hujui kusoma basi hata Lugha yapicha nadhani haitakushinda kuona
jinsi Diamond,Meninah,DjFetty na Kajala kweli camera zinawapenda,
uki-mix na jinsi walivyotupia, walikuwa moja ya wasanii waliopendeza
kwakweli, hawakuwa wao tu wapo wengine wengi ambapo kila mmoja aliweza
kutoka kivyake katika upande mzima wamavazi. Professa J na Weusi
walitisha zaidi kwa jinsi wasanii walivyotokelezea ndani ya tshirt zake
zilizoandikwa “Kipisijasikia”, weusi wao walitia fora kwa kutupia swag
zao wenyewe zilizoandikwa nyeusi. Shilole hakumwacha bebi wake,
walitokelezea pamoja pale kati, Ila hilo jicho la Mh Komba sijui
lilikuwa linaelekea wapi…,ingawa mbali na jitihada zake za ubunge katika
kutumikia wananchi, pia ni mwanamuziki mkongwe sana katika game.
Endelea kujionea mwenyewe matukio haya katika picha.
source vib
0 comments:
Post a Comment