Monday, June 23, 2014

Wanahari wa Al Jazeera waliohukumiwa kwenda jela miaka 7.
MAHAKAMA nchini Misri imewahukumu kwenda jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa Shirika la Habari la Al Jazeera waliokuwa wamezuiliwa miezi sita nchini humo.
Wanahabari hao walipatikana na hatia ya kueneza habari za upotoshaji na kushirikiana na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Muslim Brotherhood.
Mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste, raia wa Australia aliyewahi kuwa mwandishi wa habari wa BBC.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe