Leroy Fer (wa tatu kulia) akiifungia Uholanzi bao la kwanza.
KIKOSI CHA Louis van Gaal kimetinga hatua ya 16 Bora katika michuano
ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil baada ya ushindi wa leo
usiku wa mabao 2-0 dhidi ya Chile.Wafungaji wa mabao ya Uholanzi ni Leroy Fer na Memphis Depay.
Kwa matokeo ya leo, Uholanzi wameingia hatua hiyo baada ya kuongoza kundi B wakiwa na pointi 9 baada ta kushinda mechi zote tatu huku Chile wakiwa nafasi ya pili katika kundi hilo.
0 comments:
Post a Comment