Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia
Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli,
Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo
nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mwandamizi
anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe.
Masagos Zulkifli, na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6,
2014. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Wa pili
kutoka kulia mstari wa mbele ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha, na kushoto kwake
ni Balozi wa Tanzania nchini India anayewakilisha pia nchini Singapore,
Mhe. John Kijazi
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa ameongozana na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya
Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu
jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini
kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
0 comments:
Post a Comment