Saturday, June 7, 2014

Bango lilivyo.

Hawa ni baadhi ya waburudishaji katika Bendi ya Mapacha Watatu.
Viti hivi vinategemewa kujaza watu wa kutosha.
Mchoma nyama akifanya kazi yake kwa umakini.
Full makamuzi.
Mjasiriamali aliyejitosha Nyama Choma Festival katika Viwanja vya Posta-Kijitonyama.
Nyama za Kimasia zinazochomwa  kwa kuni maalumu.
Kamera yetu imemnasa Mariam Ismail akiwa kwenye mishe za nyama choma.
Watoto wakicheza mchezo kwa kulenga shabaha.
Eneo hili ni samaki samaki.
Mpango mzima ni hapa kuhusu muziki.
Nyama zikiwa tayari.
MUONEKANO wa tamasha la Nyama Choma Festival lilivyokusanya watu na huduma mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe