
Nyimbo ya mdogomdogo kwasasa ndio habari ya mjini tokea Diamond Platnumz
alipoitoa jana imekua gumzo mtaani. na kitu gani kitaonesha level ya
kimataifa aliyopo Diamond kama si hii ya kufanya professional
photography kwa ajili ya single artwork.
Cheki hii picha hapa Diamond akimbeba huyu mtasha…
0 comments:
Post a Comment