WAGOMBEA UONGOZI SIMBA WACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE
..Aveva akikabidhiwa fomu na Kaimu Katibu Msaidizi wa Kamati ya Uchaguzi ya timu hiyo, Khalid Kamguna.
...Aveva akimpongeza mgombea mwenza, Iddy Kajuna ambaye anawania wadhifa wa Ujumbe wa Kamati ya Utendaji.
Iddy
Kajuna (kulia) ambaye ni mgombea aliyeonekana kukubaliwa na wengi
wakati wa zoezi la uchukuaji fomu akiwa na mmoja wa wanachama
wanaomsapoti.Mshabiki hao waliokuwa na furaha kwa wanachama hao walilitawala karibu eneo lote la barabara ya Msimbazi huku wakishangilia.
Miongoni mwa waliochukua fomu leo ni pamoja na mgombea nafasi ya uenyekiti Evans Aveva na mgombea nafasi ya kamati ya utendaji Iddy Kajuna.
RSS Feed
Twitter
11:03 AM
Unknown




Posted in
0 comments:
Post a Comment