Sunday, May 11, 2014


MUME wa mcheza filamu mahiri za Kibongo
Nuru Nassoro ‘Nora’, Masoud Ally ‘Luqman’ ameamua kuvunja ukimya baada
mkewe huyo kueleza sababu zilizofanya ndoa yao kuvunjika ambazo anadai
siyo za kweli. Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Luqman ambaye
alitumia zaidi ya saa mbili kutoa ufafanuzi kuhusiana na habari hiyo,
alikanusha vikali kuwa wazazi wake ndiyo chanzo cha kufanya ndoa yao
ivunjike. Alisema kuwa mama yake alikuwa akimpenda sana Nora mpaka staa
huyo alikiri kuwa mkwewe huyo anampenda, sasa anaumia kumsikia akidai
ndoa yake ilivunjwa na wazazi wake. Luqman alizidi kutiririka kuwa
katika maisha yake ya ndoa aliyoishi…

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment