Sunday, May 11, 2014

PENDO ZITO LINAENDELEA KATI YA HAWA WAWILI…

wema sepetu na  martin kadinda

Wote tunafahamu kuwa Martin Kadinda ni meneja wa Wema Sepetu na wamekuwa na ukaribu kwa kipindi kirefu.  Lakini hizi picha alizozipost Martin kupitia Instagram hivi karibuni akiwa na Wema huko Afrika Kusini zimeanza kuleta minong’ono.Je, ni wapenzi au  marafiki tu??ukiziangalia  hizi picha namaeezo  yakeutagundua kitu….!!! Katika picha hiyo juu Martin aliiandikia, “I Heart em moments… She is spoiling me in a way I can’t say thank you and be enough.” Katika picha hii Martin ameandika: Sisi ni washwiiiity………. She always say that…. Hapa ameandika: #InstaTrueLove…. I loove this Gurl…. She is so pure and Rily

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe