Muimbaji Abubakar Katwila aka Q Chief
amekiri kuwa alikuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya kwa kipindi cha miaka
miwili na hivyo kumharibia maisha yake. Hata hivyo amesema amefanikiwa
kuacha kutumia miezi saba iliyopita baada ya kutumia muda mwingi kufanya
ibada. Akiongea kwa uchungu katika mahojiano exclusive na kipindi cha
XXL cha Clouds FM, Chilla amesema hakuweza kusema wazi jambo hilo
kwakuwa aliogopa kuwaumiza watu zaidi. “Nilifikiria kwanza kabla ya
kuconfess kwamba hata nikiconfess I know there are a lot of people who
care about Q Chief na wasingependa kumuona yuko hapa katika hali hii
lakini pengine ukawaamiza zaidi
0 comments:
Post a Comment