SIKU chache baada ya kuibuka kwa skendo
ya ubakaji inayomkabili prodyuza maarufu wa filamu Bongo ambaye pia ni
Msemaji wa Kampuni ya Steps Entertainment, Seles Mapunda ameibuka na
kufungukia ishu hiyo. Akizungumzia ishu hiyo hivi karibuni Mapunda
kwanza alisema kuwa hakumbaka Nancy Njozy aliyefungua kesi katika kituo
cha polisi cha Oysterbay bali msichana huyo anatafuta umaarufu ambao
amekuwa akiusaka kwa muda mrefu. “Sikumbaka Nancy na wala haiwezi kuwa
hivyo, nadhani anatafuta
0 comments:
Post a Comment