
Muonekano mpya ya uwanja unaotarajiwa kujengwa na mabingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Primiership’ 2013/2014, Manchester City .Uwanja wanaoutumia hivi sasa wa Etihad una uwezo wa kuingiza watazamaji 47,620.
Iwapo uwanja huo utakamilika, inamaana kuwa jiji la Manchester litakuwa na viwanja viwili vikubwa pamoja na kile kinachomilikiwa na Man United, Old Trafford ambacho kinauwezo wa kuchukua mashabiki 75,000.
RSS Feed
Twitter
4:24 PM
Unknown
Posted in
0 comments:
Post a Comment