Katika Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi
nchini Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa
saa moja kwa kazi yake.
Miaka minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika ukahaba ,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio sababu ya kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.
Akiwa na uwezo wa kuwaburudisha wateja walau 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.Akizungumza kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."
Bi Vogel-Couple

0 comments:
Post a Comment