WATOTO WAJIACHIA KWA MICHEZO MBALIMBALI X-MAS DAR LIVE
Pichani
juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live jana,
kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondia Mbwana Matumla na
David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na
Bahati Mwafyela atakayechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi
hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz watashusha shoo bab kubwa
ndani ya ukumbi huo. Wapenzi wote wa burudani mnakaribishwa Dar
0 comments:
Post a Comment