Sunday, May 11, 2014

MCHEZAJI WA NFL AJITANGAZA KUWA SHOGA

Michael Sam.

Mchezaji Michael Sam wa St. Louis Rams inayoshiriki National Footbal League (NFL) huko Marekani amekuwa mchezaji wa kwanza kujitangaza kuwa shoga kwenye mchezo huo.
Sam mwenye umri wa miaka 24 ni mzaliwa wa Galveston, Texas nchini Marekani.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe