Arsenal
wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote.
Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa
nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa
Wembley usiku huu.Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8.
RSS Feed
Twitter
5:03 PM
Unknown
Posted in
0 comments:
Post a Comment