Wednesday, August 26, 2015




Man United wanapigana kuisaka saini ya Neymar kabla ya dirisha la uhamisho kufungwa Jumanne ijayo, lakini haionekani kama dili hilo linaweza kufanikiwa katika dirisha hili la uhamisho la kipindi cha majira ya joto.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe