Patrci Liewig na Stand United: Wengi
wanajiuliza maswali kuhusiana na ujio wa Mfaransa huyo ambaye ni mara ya
pili kufundisha Tanzania akianza msimu wa 2012/13 akifundisha Simba na
sasa Stand United ambayo ni timu change inayoshiriki ligi ya Vodacom
msimu wa pili na msimu uliopita ilinusurika kushuka baada yakumaliza
nafasi ya 10 na kuambulia point 31 baada ya kucheza mechi 26
0 comments:
Post a Comment