Wema
Sepetu jana ametambulisha tattoo yake mpya aliyojichora mkononi
iliyoandikwa 'Daddy Sepetu' kupitia akaunti yake ya Instagram ikiwa ni
kumbukumbu ya marehemu ya baba yake mzazi Isaac Sepetu aliyefariki dunia
mwaka jana.Find more videos like this on Global Publishers
RSS Feed
Twitter
12:42 PM
Unknown



Posted in
0 comments:
Post a Comment