Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika
Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa
mhadhara kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa
cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini
Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani
atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete
akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Wahadhiri na wanafunzi wa Chuo cha
Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi
jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais
mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)
0 comments:
Post a Comment