Wednesday, June 4, 2014

Jeneza lenye mwili wa Tyson.

Mdogo wa marehemu aitwaye Carlo akilia  baada ya kuliona jeneza lililobeba mwili wa marehemu.
Mchungaji Bob Makari wa kanisa la Ocean Community Church alilokuwa akisali marehemu.
Monalisa akiwa katika huzuni.
Mtoto wa Tyson aitwaye Sonia akilia kwa huzuni.
...Akitoa heshima za mwisho kwa marehemu baba yake.
Natasha, Sonia na Monalisa wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada kwa marehemu Tyson.
Mke wa marehemu Tyson aitwaye Beatrice Shayo (kulia) akiwa na dada yake.
Waombolezaji  wakiwa wamejipanga kuupokea mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’.
Mwili ukishushwa kutoka kwenye gari.
...Ukiingizwa nyumbani.
Mboni Masimba (kati) akiwa na simanzi uchungu nyumbani kwa marehemu George Tyson.
Waigizaji Vanita, Natasha na ndugu wa marehemu wakiwa na huzuni.
Monalisa akiuaga mwili wa Tyson.
Jeneza alimolazwa Tyson.
Beatrice Shayo akilia kwa uchungu.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe