Thursday, June 5, 2014


Mhubiri wa kidini aliyejulikana kama Hosea Cha Mungu akihubiri sehemu za Ubungo ambako alidai aliwahi kukutana na mwigizaji, marehemu Steven Kanumba huko Lagos, Nigeria kabla hajafa.

Wasikilizaji wa hotuba ya Cha Mungu wakionyeshwa baadhi ya picha za wafuasi wa madhehebu ya Freemason.
Moja ya picha za madhehebu ya Freemason.
Shughuli za biashara zikiendelea eneo la Buguruni Reli kinyume na mipango ya jiji la Dar es Salaam.
Hili ni eneo la kumwaga vinyesi na maji taka  kitongoji cha Vingunguti linalojulikana kama Spenko.
Magari yakimwaga maji taka eneo la Spenko, Vingunguti

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe