Sunday, May 18, 2014

Wanafunzi wa SMJC katika maonyesho ya urembo.

Msanii Kweli MC akitoa free style.
Mwanafunzi kutoka SJMC akitoa burudani safiii...
Mzee Kitime akiwaasa wanafunzi kutumia vipaji kutimiza ndoto zao.
Logo maalum ya tukio hilo.
Mzee Kitime akihojiwa na Mtangazaji wa EA Radio, Anna Peter aliyekuwa mshereheshaji wa shughuli hiyo.
Barnaba boy akifanya yake stejini.
...Maigizo.
Watazamaji.
Mwanamitindo Sheria Ngowi akiwaasa wanafunzi kutumia vipaji.
TV1 wakiwa kazini.
Barnaba akishow love na shabiki wake.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe