SILAA AKABIDHIWA JENGO LA MATIBABU MOGOLANDEGE, UKONGA DAR
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (mwenye miwani) akikata utepe
kufungua jingo lililojengwa na Dk. Abdallah Mandai (kushoto) kwa ajili
ya kutolea huduma za wagonjwa wa kifua kikuu katika zahanati ya
Mogolandege, Ukonga Dar hivi karibuni.Hivi karibuni Dk. Abdallah Mandai wa Mandai Clinic alimkabidhi Meya wa Manispaa ya Ilala, jengo kwa ajili ya wagonjwa wa kifua kikuu katika Kata ya Mogolandege, Ukonga jijini Dar ambalo alilijenga kama mchango wake kwa jamii. Daktari huyo huandika makala za afya katika gazeti la Ijumaa Wikienda
RSS Feed
Twitter
6:01 PM
Unknown



Posted in
0 comments:
Post a Comment