Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa
utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa
Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi
na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa
Afya Dkt. Kebwe Stephen Kebwe. Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff,
mmoja wa wadau wa afya kutoka katika kundi la marafiki wa maendeleo.
Pamoja na kitabu hicho pia kuna jedwali (score-card) ya alama za
ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa
uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo
vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Pamoja
naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Stephen Kebwe. Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na wagemi wengine
wakifuatilia maelezo wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza
kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam jana. Pamoja naye ni naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Stephen
Kebwe. Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi wa Mpango
Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo
vya watoto katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julis
Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment