PARIS, Ufaransa
NDUGU mbalimbali wakiongozwa na baba wa kufikia wa mtangazaji maarufu, Kim Kardashian, Bruce Jenner wamewasili katika uwanja wa ndege wa LAX.
NDUGU mbalimbali wakiongozwa na baba wa kufikia wa mtangazaji maarufu, Kim Kardashian, Bruce Jenner wamewasili katika uwanja wa ndege wa LAX.
Miongoni mwa ndugu hao waliowasili ni pamoja na Brandon Jenner na mpenziwe Leah, Kendell Jenner na Khloe kardashian.
Sherehe za maandalizi ya harusi zitafanyika
siku ya Ijumaa katika ukumbi wa Chateau De Wideville, Ufaransa, na
Jumamosi ya tarehe 24, asubuhi wageni wote ‘watakwea pipa’ mpaka
Florence, Italia, ambapo mipango kamili ya kufunga ndoa itafanyika
katika jengo maarufu la Forte Belvedere.
0 comments:
Post a Comment