ILIKUWA
Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali na
zaidi ya watu 800 kupoteza maisha. Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza
kilomita 30 kutia nanga kwenye bandari ya Jiji la Mwanza ikitokea mkoani
Kagera. Leo ni
miaka 18 tangu ajali hiyo itokee. Daima tutazidi kuwakumbuka ndugu,
jamaa na marafiki waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment