Waziri
Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana, katika mapokezi yaliyofanyika katika kijiji cha Gehandu, wakati
Kinana alipowasili katika Wilaya ya Hanang, akitokea mkoani Singida,
kwenda kuanza ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza
kero za wananchi na njia ya kuzitatua katika mkoa wa Manyara, jana Mei
27, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Hanang Christina Mndeme wakati wa mapokezi hayo. Sumaye
akimlaki Katibu wa NEC, Itikadi na Uenzi Nape Nnauye, katika mapokezi
ya Kinana yaliyofanyika katika kijiji cha Gehandu, Wilaya ya Hanang,
Manyara. Kushoto Mkuu wa wilaya hiyo Mndeme. Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisalimiana na Katibu Tawala wa mkoa wa Manyara, Omar Chambo wakati wa mapokezi hayo. Mapokezi ya Kinana Kijiji cha Gehandu, Hanang Manyara. Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea saluti ya Vijana wa UVCCM,
wakati wa mapokezi yake, Kijiji cha Gehandu, Hanang Manyara. Kinana akiingia Hanang, Manyara. Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Christina Mndeme (kulia) akiwa na mabinti wa Kibarbaig wakati wa mapokezi ya Kinana. Vijana
wa Kibarbaig wakionyesha ushupavu wao wa kuruka wakati wakimburudisha
Kinana wakati wa mapokezi katika Kijiji cha Gehandu, wilayani Hanang. Binti wa Kibarbaig akiruka wakati yeye na wenzake wakitoa burudani kwenye mapokezi ya Kinana.
0 comments:
Post a Comment