Sunday, May 11, 2014

CHEZEA USINGIZI WEWE!

Jamaa huyu amekutana uso kwa uso na kamera yetu, akiwa katika usingizi mzito mida ya mchana pande za Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar na kuzua minong’ono kwa wapita njia ambao hawakufahamu sababu za kuuchapa usingizi eneo hilo.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe