Pedro akubaliana na Manchester United maslahi binafsi
Mshambuliaji wa Bracelona Pedro amekubaliana maslahi binafsi na
Manchester United. Matajiri hao wanakaribia kukamilisha dili hilo na
kinachosubiriwa kwa sasa ni kukubaliana ada ya usajili baina ya timu
hizo
0 comments:
Post a Comment