Tuesday, January 20, 2015


KIFO cha staa wa Nollwood, Muna Obiekwe kimezua gumzo kwa watu wengi nchini Nigeria na wengine ambao wanafuatilia tasnia ya filamu nchini Nigeria, sasa kuna mambo kadhaa ambayo yawezekana ulikuwa huyajui kuhusu staa huyo aliyefariki kutokana na matatizo ya figo.

Staa wa Nollwood, Muna Obiekwe enzi za uhai wake.
Alikuwa muoga wa waandishi wa habari
Muna hakuwa tayari kujitokeza hadharani kuomba kuchangishiwa fedha kwa kuwa alikuwa muoga wa kuonekana kwa waandishi wa habari na alipenda maisha yake binafsi yasijulikane.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe