Kikundi
cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es
Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini
kujindaa na robofainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano
hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki
wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta
jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo
fainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa
na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Vijana
wanaounda kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es
Salaam,wakifanya mazoezi kambini kwao kujiandaa kwa robo fainali ya
shindano la Dance100% litakalofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano
hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi
ya washiriki wa shindano la Dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la
Tegeta kwandevu jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja na
Meneja Uhusiani wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (watatu kutoka
kushoto) na Mratibu wa shindano hilo kutoka EATV Happy Shame
walipowatembelea kambini kuwapa moyo vijana hao na kujionea jinsi
wanavyofanya mazoezi yao kujiandaa na robo fainali ya mashindano hayo
yatakayofanyika Agosti 23 mwezi huu.
0 comments:
Post a Comment