
UZINDUZI wa Serengeti
Fiesta 2014 juzikati ulirindima baada ya msanii wa kizazi kipya
anayefanya poa kwa sasa Estelina Sanga ‘Linah’, kufanya balaa wakati
wakiimba wimbo walioshirikiana na mkali Nasib Abdul ‘Diamond’ jukwaani.
Wengine waliopata fursa ya kufanya makamuzi ya nguvu ni pamoja na Yamoto Bendi, Sky Light, Makomandoo, Chege na Temba, Madee, Nay wa Mitego, Stamina, Young Dee, Mr Blue, Nyandu Toz, Khadija Maumivu, Vanesa Mdee na baadaye Dogo Janja aliyepanda jukwaani ikiwa ni siku chache baada ya kutimiza umri wa miaka 18.
0 comments:
Post a Comment