
WAKATI mastaa hupendelea kufanya shopping katika maduka makubwa, msanii wa filamu Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula, mwishoni mwa wiki iliyopita alinaswa akichagua gauni alilodai ni la harusi katika duka la mitumba lililopo Makumbusho jijini Dar.
Msanii wa filamu, Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula akiwa na rafiki yake Isabela wakifanya shopping katika duka la mitumba.“Kwani kuna ajabu gani mimi kuja kununua gauni la harusi yangu mtumbani? Watu wanashidwa kuelewa kuwa magauni ya mitumba ni mazuri sana” alisema baada ya kuulizwa kulikoni asiende kwenye maduka makubwa ya nguo.
RSS Feed
Twitter
11:34 PM
Unknown
Posted in
0 comments:
Post a Comment