Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe, Ezden Jumanne siku ya harusi yao.
Baada ya
ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio
Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe anayepiga
mzigo TV1, Ezden Jumanne amefunguka mengi kuhusu sababu za kuvunjika
ndoa hiyo. Ili kujua ni nini amezungumza, ungana na Global TV Online na
soma magazeti ya GPL Jumatano ya Julai 2, 2014 kupata uhondo kamili!
0 comments:
Post a Comment