Sunday, July 27, 2014

  Baadhi ya wasanii wa bongo movies wakifuturu.

   Wasanii wakifuturu upande wa wanaume.
   Davis Mosha akiongea na wasanii wa bongo movie juu ya ujio mpya wa Swahili Media mara baada ya kufuturu.
   Wasanii wa kiume bongo movie wakisikiliza neno kutoka kwa Davis Mosha.
   Wasanii wakipiga stori mara baada ya kumaliza kufuturu.
    William Malechela akiongea na Wasanii wa bongo movies juu ya ujio mpya wa Swahili Media.
    Msanii Herieth Chumila wa Bongo Movies akitoa shukrani kwa familia ya Davis Mosha.
Mkurugenzi na mmiliki wa Delina Group, Davis Mosha amefuturisha wasanii wa bongo movies nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar juzi jioni huku akiwasisitiza wasanii kuwa na umoja na kufanya kazi kwa kushirikiana bila kubagua matabaka walionayo katika sanaa.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe