Tuesday, July 8, 2014

 
Athari za kimbunga kinachoitwa Neoguri.

Miti ikiwa imedondoka baada ya kutokea kimbunga hicho.
Wananchi wa visiwa vilivyo kusini mwa nchi hiyo wakati wa kimbunga hicho.
Serikali ya Japan imewashauri karibu watu nusu milioni kuhama makwao na kutafuta hifadhi kwengine wakati kimbunga kinachoitwa Neoguri kikipiga visiwa vilivyo kusini mwa nchi hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe