Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza
katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini
Tanzania.

Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan akiwasilisha mada katika mkutano huo.

Waziri
wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba (katikati) akiwa
meza kuu kabla ya kufungua mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa
Ukeketaji Nchini Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa
Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar
es Salaam.

Picha
ya pamoja kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia
Simba akiwa na wawakilishi wa asasi za kijamii zinazojihusisha na
kupambana na ukeketaji maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Picha
ya pamoja kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia
Simba akiwa na wajumbe wa mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa
Ukeketaji Nchini Tanzania.
0 comments:
Post a Comment