
Wanafunzi
wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wanaolipiwa na Bodi ya Mikopo
wakimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo hicho aliyekuwa akiongea nao.WANAFUNZI wanaolipiwa na Bodi ya Mikopo katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kilichopo Mabibo Mwisho jijini Dar, leo wamegoma na kufanya vurugu wakidai kucheleweshewa fedha zao za mkopo. Mgomo huo umeanza majira ya saa 6 na nusu mchana ambapo polisi waliingilia kati kutuliza ghasia zilizokuwa zinaendelea chuoni hapo. Mpaka mtoa habari hii anaondoka eneo la tukio, bado wanachuo walikuwa wakisubiri majibu ya uongozi wa chuo hicho.
RSS Feed
Twitter
1:53 PM
Unknown



Posted in
0 comments:
Post a Comment