Joshua Samwel Nassari (kulia) akiwa na mke wake Anande Nko.
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga
ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru
jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja
vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto.
0 comments:
Post a Comment