Sunday, June 8, 2014


Mzee Small enzi za uhai wake akibadilishana mawazo na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally.
MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe