Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amesema
anafurahia ujio wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kazi yake itakuwa ni
kutulia na kujipodoa tu.Akipiga stori na Ijumaa Mai alisema mwezi huo
huwa mishemishe zake zikiwemo za u-MC anaziweka kando na kwamba atatumia
muda mwingi kutengeneza mwili wake.“Yaani mkorogo utanikomaje, nakuambia hadi Mwezi wa Ramadhani unaisha nadhani nitakuwa kama mwarabu, sitakuwa na la kufanya, nitakuwa ni mtu wa kujipodoa tu,” alisema Mai.
RSS Feed
Twitter
1:28 AM
Unknown
Posted in
0 comments:
Post a Comment