MSANII wa Bongo Fleva, Menina Atick 'Menina La Diva' leo ametembelea studio za Global TV Online na kufanya mahojiano.
Staa huyo aliyeibukia kwenye Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012, amefunguka kuhusu mengi ikiwemo maisha yake, muziki na changamoto anazozipata katika muziki.
Kujua zaidi kuhusu msanii huyo, usikose kuangalia Global TV Online na kusoma magazeti ya Global Publishers Ltd.
0 comments:
Post a Comment