Saturday, June 7, 2014

Hapa ni club full muziki.

Hawa nao walikuwa ni kichekesho tosha.
Hiki ni choo cha muda.
Mshindi wa mbio za mbuzi akiwa na wadau.
Eneo hili ni maalumu kwa VIP.
Hata nazi nazo zilikuwapo 3,000 kwa moja.
Watoto wakiwa katika mchezo wa treni.
Hii ni bara full kujiachia.
Wataalamu wa  maakuli.
Kuhusu suala la burudani usiulize.
Umati wa watu waliofurika.
Jukwaa na MV Evance Bukuku.
Dogo kajiachia ndani ya suti.
Gari linalotembea kwa kutumia miguu ya watu (mchezo ambao wengi uliwashangaza).
MASHINDANO ya mbuzi yamefanyika leo katika Viwanja vya The Green, Barabra ya Kenyetta jijini Dar huku yakiambatana na michezo mbalimbali ya kufurahisha na kuchekesha.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe