Thursday, June 26, 2014

Elizabeth Michael "lulu"

Mwanadada Elizabeth Michael “lulu” leo ameamua kufunguka na
 kuwaonyeha wabongo jinsi ghetto lake lenye rangi nyekundu
 lilivyokamilika vilivyo. Lulu ameonyesha hadi choo chake kilivyo kikali…
duh! ebu cheki mwenyewe…..

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe