Sunday, May 25, 2014

Ndugu, jamaa na marafiki wakisoma dua.

  Baadhi ya wanamuziki na wadau wa muziki wa dansi nchini Juma Mbizo, Said Mabela, Kibiriti, Hassan Bichuka na Mbwembwe wakiwa nyumbani kwa marehemu Gurumo.
    Baadhi ya wanafamilia na wanandugu.
Mzee Mbizo akimfariji mke wa marehemu Gurumo, Pili Said.
   Wanafamilia wa marehemu Gurumo.
  Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka naye alikuwepo.
  Wanafamilia na ndugu wa marehemu wakisoma dua.
Ndugu, jamaa na marafiki mara baada ya dua kumalizika wakijadiliana jambo.
IDADI kiduchu ya wasanii waliohudhuria 40 ya nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Maalim Muhidin Gurumo leo imeonyesha dhahiri kuwa wasanii wengi wameingia mitini. Arobaini hiyo imefanyika leo mchana nyumbani kwa marehemu Mabibo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe