Saturday, May 17, 2014

Bonge la Nyau akiburudisha.

Baadhi ya warembo wa Miss Dar City Center-2014.
Majaji wakifuatilia mashindano kwa makini.
Mshiriki katika vazi la ubunifu.
Miss Ukonga wakiwa jukwaani.
Mshiriki Hatima Rashidi akionyesha kipaji cha kuimba na kukata mauno.
Aziza mshiriki namba 6 akionyesha vazi  la ubunifu kwa kutumia kanga.
Hawa ndiyo Top 5 Miss Dar City Center wakiwa jukwaani.
Msanii Barafu akiwa na Bonge la Nyau wakiangalia mashindano.
Msanii Chis Mo baada ya kutumbuiza(mwenye nguo nyeupe).
Washiriki wakiwa katika pozi.
TID ‘Mnyama’, akikata mauno.
Waandaaji kwa kwanza Mr Erick.
Washiriki wakicheza muziki.
Hashimu Lundenga akifuatilia mwenendo wa mashindano.
Mashabiki wakifuatilia kwa makini.
Jana ilikuwa ni  kinyang’anyiro cha kuwasaka warembo watakaoingia katika Top 5 kwa ajili ya kushiriki shindano la kumpata mshindi mmoja wa Miss Dar City Center litakalofanyika katika Viwanja vya Escape One Mei 24 mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe