WASHIRIKI wa shindano la Miss Ustawi 2014
wamesema wako tayari kwa fainali ambazo zinatarajiwa kufanyika Ijumaa
hii katika ukumbi wa Sun Ciro uliopo Shekilango jijini Dar.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya
warembo ambao wamebahatika kuongea na mtandao huu walisema kuwa
mashindano ya mwaka huu yanachangamoto nyingi sana kutokana na warembo
wengi kuwa wana vigezo vinavyotakiwa.
“Sio siri tuko vizuri sana na hapa
ninavyokwambia niko tayari kwa lolote hata tukiambiwa muda huu ndio
fainali” alisema mmoja wao.
0 comments:
Post a Comment