kuhusu familia ya JK kuhamia dodoma
mama salma mwenyew nikimuangalia kwenye ile picha kama vile anasema ngoja tu watakoma,mwakani niko ndani ya mjengo
Mke
wa Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo
Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dkt. Rehema Nchimbi.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
0 comments:
Post a Comment